News

Rais Samia Suluhu Hassan pamoja na Mgombea Mwenza, Balozi Dk. Emmanuel Nchimbi, kesho wataenda Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi ...
Chama Cha Wananchi (CUF) kimepitisha majina ya wagombea urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Serikali ya Mapinduzi Zanzibar, huku kikiwaondoa wanachama saba waliodaiwa kufanya vurugu na kukwami ...
Waandishi wa Habari kutoka Kampuni ya IPP Media wameibuka washindi katika Tuzo za Mawasiliano zilizofanyika Agosti 7, 2025 katika Ukumbi wa Golden Tulip, Uwanja wa Ndege, Zanzibar. Tuzo hizo zilitolew ...
Jeshi la Polisi mkoani Kilimanjaro linawashikilia watu kadhaa kwa tuhuma za kuhusika na jaribio la kufanya uhalifu wakati wa zoezi la upigaji kura za maoni ndani ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) katika Ji ...
Shirikisho la Soka Barani Afrika (CAF) leo limetoa rasmi orodha ya vilabu 75 bora vya soka barani kwa mwaka 2025, likiwa ni ...
Winga wa timu ya Taifa ya Tanzania (Taifa Stars), Abdul Suleiman maarufu kama Sopu, ameandika historia mpya katika mashindano ya fainali za CHAN baada ya kufunga bao la kwanza katika fainali za mwaka ...
Rais Samia Suluhu Hassan, amezindua Maabara Kuu ya Kilimo kama sehemu ya maadhimisho ya kitaifa ya Sikukuu ya Wakulima, ...
Mamlaka ya Vitambulisho vya Taifa (NIDA) inatarajia kuzindua mfumo mpya wa kidijitali utakaowawezesha wananchi kufuatilia ...
Vijana 8,959 wenye umri wa miaka 15 hadi 24 wakiwemo waliopata ujauzito katika umri mdogo na kukosa shughuli za kufanya wa ...
Naibu Waziri Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki; Cosato Chumi alasiri ya jana, tarehe 07 Agosti, 2025 ...
WAZIRI wa Elimu Prof. Adolf Mkenda, amezindua rasmi duru ya nne ya Tuzo za Taifa za Mwalimu Nyerere za Uandishi Bunifu ambazo ...
Mkuu wa Jeshi la Polisi Nchini (IGP), Camillus Wambura, amewaonya Watanzania wasikubali kudanganyika na kushawishiwa na watu ...