Ujumbe huo wa Faki ulirudiwa na viongozi wawili mashuhuri wa Kenya; Rais Uhuru Kenyatta na Waziri Mkuu mstaafu wa taifa hilo, Raila Amolo Odinga. Wote walimtaja Mkapa kama mpatanishi na kwa pamoja ...
Katika ibada takatifu ya kuaga mwili wa rais wa zamani wa Tanzania Benjamini William Mkapa inayofanyika jijini Dar es salaam Tanzania, Familia yake imethibitisha kuwa alifariki kwa mshituko wa moyo.
Kutoka Februari 5, 1977, CCM ilipozaliwa baada ya kuunganisha vyama vya Tanu na ASP hadi Februari 5, 2025, ni miaka 48 ...