MIEZI mitatu kabla hajaondoka madarakani mwaka 2005, Rais Benjamin Mkapa wa ... Uhusiano baina ya Tanzania umekuwa ukigubikwa na mambo makubwa matatu katika kipindi cha miaka 50 iliyopita.
Ujumbe huo wa Faki ulirudiwa na viongozi wawili mashuhuri wa Kenya; Rais Uhuru Kenyatta na Waziri Mkuu mstaafu wa taifa hilo, Raila Amolo Odinga. Wote walimtaja Mkapa kama mpatanishi na kwa pamoja ...