Maelezo ya picha, Mama Anna Mkapa (katikati), Mke wa marehemu Benjamin William Mkapa akisindikizwa kuingia katika uwanja wa Uhuru kwa ajili ya kuhudhuria ibada ya kumuaga mumewe Siku ya Jumapili ...
Katika maisha ya kimasikini kwenye kijiji cha Lupaso, familia ya hayati Benjamin Mkapa ilikuwa ... anaeleza kuwa jina lake la ukoo, Mkapa, ni la upande wa mama yake Bi Stephania na si baba yake.